Nni kinaendelea SRILANKA? Sehemu 2 Uzi🧵🙌 #PichaLINAENDELEA anzia post ya jana. Ankali GOTABAYA alipoingia madarakani 2019 aliahidi kodi za kibwege atazifutilia mbali,wananchi wakaona “eheee,huyu ndo mwaisa mtu mbadi wetu”km ujuavyo ujuavyo kila mtazamo hujengwa na historia
então shida ya wana SRI LANKA ilikuwa kuona nchi inarudi kusimama kwa miguu yake,mambo ya wewe ni nduguyakeNani wala hawajali sana. Alipoingia ankali GOTABAYA alionekana ni mtu wa kusimamia maneno yake, akapitisha panga la kupunguza kodi kwa wananchi ,kampeni ambayo ilipunguza 25%
yaani robo ya pato la taifa ili wananchi wafurahi. Wakati anafanya hili ni wakati ambao alikuwa akijiandaa na uchaguzi mkuu. Watalamu wa kiuchumi hawakushauri hili Lakini yeye alisema anataka Bishara ndogondogo za wananchi wanyonge wa hali ya chini zichipue, então wasilipe kodi.
Hawajakaa vizuri,GHAFLA ankali Gotabaya akaja na ajenda kwamba kuanzia sasa wakulima wote watatumia mbolea asilia ,waachane KABISA na mbolea za chemikali,ni mwendo wa maviYaNg'ombe,maviYaKuku na mimea. ndani ya usiku mmoja alitaka kuigeuza Sri Lanka kuwa na kilimo orgânico 100%
yaani mbolea ya kiwandani ni kama ukutwe na bangi.Hakuna nchi duniani imefanikiwa kutegemea mbolea ya asili kwa chakula 100%, hata nchi kama ujerumani ni 10-15% tu ya chakula inategemea mbolea ya asili yaani ya wanyama na mimea. Então ndani miaka michche kilimo cha mpunga kilishuka
50% (NUSU YA UZALISHAJI) na nchi ina watu zaidi ya milioni 21 .Hii ilifanya kulazimika kuagiza mchele nje ya nchi,jambo la ajabu kutokea kwenye nchi ambayo Mpunga ndo shughuli yao. Ghafla ikaja COVID 19ksiwa ambacho Utalii ulichangia 22% SIM PATO LA TAIFA
liliyeyuka ndani seu jovem mfupi. Hata hivyo kabla ya COVID,ndani ya 2019 kulitokea tukio la kigaidi kwenye mji mkuu COLOMBO,wahuni walilipua makanisa na majengo kadhaa kuua watu 269 palepale na 25 kati yao walikuwa raia wa kigeni,tukio hili lilishusha utalii kwa 70% nchini humor.
Covid ikamalizia mchezo. Chanzo kingine cha pesa za kigeni ilikuwa wananchi waishio nje ya nchi waliokuwa wanatuma pesa kwa ndugu zao, wanalipwa pesa za kigeni wanazituma nyumbani,covid ikaua hili. Então hapa ndipo watu wakaanza kuhisi maumivu halisi na ukumbuke covid 19 iliingia
2019 ambapo GOTABAYA ndio kwanza amechaguliwa ,ndiyo maana akawa anafanya blandaz zote nilizokwambia, nchi iliishiwa pesa za kigeni kiasi kwamba alipiga marufuku mbolea za viwandani ili kuepuka kuagiza nje ambapo wangetumia pesa za kigeni. retorne na hilo kuna blanda cantando
iliyoharibu mambo,nadhani umewahi kusikia kuna nchi ambazo zina michezo au uhuni wa kupandisha thamani ya pesa zao kinyemela,yaani wanavaa kigodoro cha kiuchumi.Kama hujawahi kusikia au umewahi kusikia basi SRI LANKA ni moja ya nchi hizo.Kivip?
Mfano,Kama Tanzânia tunaagiza mchele Quênia,na quilo 1 ya mchele KENYA inauzwa $1 (biashara duniani inafanyika kwa dola nilivyokwambia) na labda dola 1 ni sawa na Buku 2 za kitanzania, serikali inaweza kutumia bank kuu yake kuaminisha kila mtu kwamba DOLLA 1 ndani ya Tanzânia ni
sawa na 1.500, significa mchele utauzwa kwa bei ya chini ya uhalisia.Mbinu hii hutumika na nchi zinazoingiza bidhaa nyingi kuliko inazouza nje ili kumaintain pesa yao Lakini huwapunguzia wananchi mzigo wa gharama na hivyo serikali iliyo madarakani inajiweka pazuriksiasa kwasababu
wananchi wanaona vitu vinashuka bei au pelo menos hakuna mfumuko wa bei,hata kama duniani kwingine mambo yamebadilika.Utajiuliza sasa kwanini nchi nyingine hazitumii mbinu hii kabambe?bem,jibu ni simpo, kwasababu ya hiki kilichoitokea SRI LANKA leo.🥳
Então Sri Lanka Walifanya uhuni huu na kumaintain pesa yao (Rupia) tangu ABRIL 2021 wakifany mchezo wa wakiaminisha watu kwamba dola 1 = jero wakati kiuhalisia book ni book 2.Utajiuliza inafanyaje kazi kwenye mazingira halisi? Iko hivi..mfano unaenda banco unawapa dola 1 ya kimarekani
então wanakupa jero book (1500), Ukienda kwenye luto binafsi la kubadilisha pesa wanakupa LIVRO 2.Bila shaka haichukui muda mrefu sana watu wataanza kuambiana kwamba usibadilishe au usiweke pesa zako za kigeni kwenye banco kwasababu wananunua kwa bei chee.
so wale raia wa kigeni hawattumi tena pesa kwa ndugu zao kupitia bank au njia rasmi ambazo zitaingia serikalini.Kupitia hili bank kuu ambapo mzunguko wa pesa zote huishia inakosa pesa za kigeni kumaintain UCHUMIwaKati FEKI waliojitengenezea.
So ni mambo 3 yaliyojimix yameishusha sri lanka, Kwanza hazina imeishiwa pesa za kigeni kwa uongozi mbaya, pili waliotunza pesa zao zina thamani ndogo kuliko ilivyokuwa mwanzo kutokana na mfumuko wa bei duniani, então kama ulikuwa na pesa inayoweza kununua quilo 10 anos,
leo pesa yako inaweza kununua quilo 5 pekee za mchele.Hivyohivyo kwenye bidhaa nyingine kama mafuta. Hawajakaa vizuri Vita ya UCRÂNIA ikaanza na kwa nchi inayotegemea kuingiza zaidi kama SRI LANKA ilipigwa na kitu chenye ncha kali kwasababu UCRÂNIA na URUSI zinasambaza 28%
ya mahindi na ngano yote duniani. Ucrânia tu yenyewe inalisha watu milhõesi 400 duniani kwa exportar yake ya chakula.Rússia inasambaza 15% ya mbolea za mazao duniani na mafuta yanayotumika kutengeneza hizo mbolea pia yanapatikana Rússia.
Mbali na hilo BEI ya mafuta ikapanda duniani na katika kupambana na hali ya kupanda kwa vyakula,nchi nyingi duniani zimepiga marufuku kuuza nje baadhi ya bidha za vyakula,so kwa nchi kama SRI LANKA ambayo mbolea hakuna,chakula na vitu vingi wanaagiza nje,
bila shaka sio ajabu kusikia yanayo wapata. Então uchumi huwa una colapso kwa namna hii Lakini kuna njia ya kutatua hili linapotokea,kwasababu nchi kushindwa kulipa madeni yake na kukosa sifa ya kukopesheka lkn kukosa hazina ya pesa ya pesa ya kigeni sio mchongo mpya mundo
imeshaweka njia ya kupambana nayo,na hapa ndipo mashirika ya kimataifa huingia kama FMI shirika la fedha na kutoa msaada wanaziita BAILOUT. SRI LANKA ishapokea mpunga wa aina hii mwaka 2006 na nchi kibao hukopeshwa kwa namna hii kuokoa uchumi,unakumbuka UGIRIKI pia,
lkn kuna KIPENGELE ambacho kinafanya SRI LANKA inashindwa kusaidika.Hizo BailOUT sio pesa zinazotolewa hovyo tu kwasabab nchi ina matatizo,ila kuna vigezo maalum ikiwemo uimara wa serikali,sera za nchi kuhusu maendeleo na kifupi FMI hutaka kujiridhisha kwamba situação ya nchi
kwamba situação ya nchi husika ni salama kuwapa pesa hizo au ndo watajikuta kwenye mesma situação miezi 6 baadaye.Hiki kigezo ndo SRI LANKA inakikosa,kwasababu wananchi wapo barabarani wakiandamana na wana sababu kwa wanachokifanya,lkn wanazidi kuchelewesha msaada wa kimataifa
Mfumuko wa bei duniani,vita na covid 19 vimekutana na uongozi mbaya/dhaifu ndani ya nchi na hii ndio UN waliita UMA TEMPESTADE PERFEITA. esperança umepata ideia ya kinachotokea Sri SRI LANKA Imeandaliwa na @Gplanet5 Usikose kutuskiliza kila jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpk saa 10 jioni